MALIKIA WA MBINGU
+MALIKIA WA MBINGU
Malkia wa mbingu furahi, Aleluya!
Kiitikio:
Kwani uliyestahili kumchukua, Aleluya!
Amefufuka kama alivyosema, Aleluya!
Kiitikio:
Utuombee kwa Mungu, Aleluya!
Furahi, shangilia ee Bikira Maria, Aleluya!
Kiitikio:
Kwani hakika Bwana amefufuka, Aleluya!
Comments
Post a Comment