SALA YA KUTUBU

SALA YA KUTUBU.

Mungu wangu, nimetubu sana dhambi zangu. Kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza. Wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena. Nitafanya kitubio, naomba neema yako, nipate kurudi. Amina.



Comments

Popular posts from this blog

SALA YA JIONI.

SALA YA ASUBUHI